
Naambiwa ati ukishaafika kindu 18 ama 19 hapo unajuanga what you are talented in and you need to do it harder. Lakini wengine hua wanadiscover talents zao mapema bana, mtu ako 10 lakini ako na angelic voice anaimba and ashaanza kupata gigs. Trick nliona kama ushaafika post teenage na hujui what you good in, unaangalia what you liked doing as a kid. Nyinyi mshaajua your talents? A. Mimi ata sijui my talent B. Najua lakini hailipi so nachapa hustles zingine. C. My talent ndio inanilisha sahii D. Mi niko niko tu, consfused💔.

0
0
0