
Nabelieve kila biz nibmanagement, na unaweza start from Zero to a Hero. Naona kuuza Smokies and eggs, ikobprofitable sana, na inahitaji capital kidogo kuanza, na ni fast moving. Smokie na mayai ukupea msee 200% income before expense. Unabuy mayai moja 8 bob, then unachemsha, unauza 25 bob, itakua na kachumbari na salt, labour pia, fuel (makaa,gas,stove ile utatumia), that gets to around 150% profit. Ukienda place kuna traffic kama stage ivi, unaweza uza over 100 eggs each day, thats 1700 income before expense, na umetoa za stock. Unaweza anza bila trolley, ama kama uko na capital poa unabuy at 5,000, ama unapewa na wasee wa farmers choice. Alternatively use a bucket ukisave for trolley. With 1000 bob, unaanza job.
It's easy to start this biz.