
Nacheck system zimekuwa fiti sasa. Na connection za fellow hustla ziko smooth. Ku access pia Shujaazbiz units imekuwa poa sasa. Looking forward to more videos kwa hio segment.
Ku post ideas, challenges kwa biz and pia kufollow up na comments iko noma saaana, save for few bugs like hii ya kujicopy paste ukijaribu ku edit text, which najua wasee wa system wako hapo.
App sasa ndio next step Mesh'ers tunategea saaana. Impressive kucheck growth hapa. #Updates #ShujaazTalk #ShujaazBiz #SytemUpdates
0
0
0