Nadai kuanza biz ya pooltable na sijui ka itarudisha niko kahawa west. Ka kunamseh ako na idea kuhusu pooltables nipeleke na rada ka ni bizz inaweza ama nifanye kitu ingine