Nadai kuanza bizna ya kuuza Ice cream lakini sina back ground knowledge kuihusu ata kidogo.Naomba mnisaidie