Nadai kuanzisha biz ya chipo na bajia na hapo hivo kutakuwa na drinks kama fruit juice na soda pia pia so bana mnaweza nipea advice kama ni biz fiti coz mi nafeel like wasee wengi huprefer chipo