Nadai kufungua biz ya kuuza ma spare parts za motorbike Kila aina,, na need nikue na doo ngapi hvi ndo atleast nianze??