Nadai kusupport biz ya msee mwenye anauza casinf ya laptops including hinges around eldoret, unaeza ni direct kwa mmoja