
Nadhani naweza sema Niko 50/50. Yaani, kukuwa book smart unaeza kusaidia sana ikikam kuinteract na wasee tofauti tofauti na pia unaeza kuwa na confidence ya kujiexplain kwa opportunity Fulani. Lakini pia kuwa street smart iko underrated sana juu hii inamaanisha huwezi kosa hustle ya kufanya mtaani. In short, unaeza kam up na idea ya biz na update itakufanya uomoke. Ni kama venye niliishi kuchorwa na sikuww naridhika lakini mwishowe nilione nijichore na talanta yangu ya art. I do portrait arts and contemporary arts na hiyo ndio hustle me husurvive nayo kwa streets. In short, tusiseme hakuna jobs, were ndio job na ww ndio unaeza ukacreatia mayouth wenzako opportunities za jobs ukijiamini. #Big up Mesh!
0
0
0