Naeza funza nani kuchambua macolour na michoro ebu tuanze but ni easy kaa hujui angalia ya bendera ya nchi yako tu black tujikubali tuache kuitana vienyeji na watu wa kanairo