Nafanya biz ya kutengeneza bar soap na nataka kufanya mass production so I need kitu kama 250k anyone loan institutions that will lend me that money Ama Kuna mtu anataka we partner?