Nafanya hustle ya kuuza maji mtaani but imekua na challenges kulipa mwenye tuktuk jioni. Niku struggle tu hadi niweze ku buy yangu then vitu zita flow.