Nafanya Kazi ya Kinyozi Jericho Kambu kwa Boni ....Huwa tunapata shujaaz hapa hapa kutoka kwa DJb. ...Tunashukuru pia kwa hand-station ya kunawia mikono na shujaaz dispenser zimesaidia sana