
Nafikiria kuanza Biz ya Bakery, Ma-Kangumuu na Donuts Nimebuy Karai Mbili, Crates kijiko ya kuepua, Basin ya kukanda unga, na ingredients za kupiga wera. Niko afraid na upande wa supply juu mazee, wueh! Nisipike nilale nazo kwa sine room, na niko ocha na ni new business.

0
0
0