
Naije comrades,bado tuko kwa happy new year greetings ama mwaka imezeeka 🤔 So kuna kitu nimekumbuka nimeona shagz nikakumbuka niwaulize,ile Nano screen protectors zinafanya kweli ? Ilikuwa scam ama ilikuwa inafanya kazi na kuna any comrade alikuwa anafanya hiyo biz ?
0
0
0