
Nairobi County has ordered the closure of All Naivas Supermarkets in Nairobi over expired products in some of their stores.
Kama uko na biz/hustle, wewe hu-check expiry dates za stock yako mara ngapi in a year?
Kama customer, ukibuy products huwa unacheck expiry date ama unalipa kama umetoka?
Tuchapiane kwa comments.

0
0
0