Nairobi ni shamba la mawe” walikua hawadanganyi bana 😅 Sai ukuwa na gari Nairobi ni assignment full-time. Wezi hawataki ata gari yote tena — wanatoa side mirrors, grills, headlights na anything inaezauzwa fast fast. Ukona ride? Kaa rada mazee. Ukona shop ya spare parts? Pia chunga usijipate kwa noma juu ya kuuza mali ya wash wash. Nairobi ni survival for the sharpest 😮💨
0
0
0