
Naitwa Ashum Mtaa ni Mombasa Hustle ni sales agent wa kampuni inaitwa Kyosk. Passion Hardwork Na kujituma ni key factors za kureach clients Create rapport poa na maclients hutawai kosa biz Niko na dream ya kujiemploy one day Naplan kujirudisha chuo nisome baking niongeze ujuzi kwa ile najua then nijiandike kazi. Cooking is my therapy
0
0
0