Naitwa Cornee kutoka Nandi,
Life has been so hard... Nimejaribu hustles kadhaa hivi but haishiki mazee.... Mi ni form 4 leaver na bado nataka kujoin TTI but ground iko venye iko... Mazee nikipata mtu atanijenga na works kadogo hivi anywhere in the country nita-appreciate sana.... Angalau nipate kitu nirudi nifulfill kadream kangu.... Wazee pia ka uko na advice pia utaweza kunijenga nayo
0716550440
0
0
0