Naitwa Elijah muli, na nimewai make 1k from selling mangoes apo mathare north.maembe zilikuwa fresh kutoka kitui shosh alikua amenitumanishia,. Wah biz ilikua fity sana from saa kumi ma mbili asubui to saa kumi jioni zilikuwa zishaisha. Nililearn kuwa watu hupenda sana vitu fresh, wengine lazima uwapigie kelele like "karibu customer" "maembe ni ya kitui oyaaa" vitu ka izi kujituma vilivyo. Pia biz pia ni Ile unapiga ukijua ukona target ya kitu Fulani. Kama mimi that time I needed money for rent coz zenye nlkua nazo hazikua enough. Wueh sema kujituma. That's my experience. Thanks sana

0
0
0