
Naitwa Eric. Mtaa ni saika, Nairobi. Hustle yangu huwa ya electrical sales, installation and repairs. Time ya corona biz ilienda chini sana (no ongoing constructions, zero sales) vijana wangu wa kazi walikua-affect mpaka wengine wakaenda mashambani. I had to search for option two na nkaanza hustle ya tailoring and branding of tshirts, bags, masks, overalls, etc. Corona ilinifundisha mengi ( as a hustler usikue na hustle moja) +kujikinga ni muhimu #sisiNiMesh #ShujaazBiz
#0725994640
0
0
0