
Naitwa Eve, nataka kuencourage youth wezangu wasikufe moyo. Nilianza biz yangu Eve Textile online nikiwa Sina do mungu but I had an idea of what i wanted. Nkienda cyber nakaanza kutafuta youtube on small businesses I can start and I got an idea of making and selling thro pillows. Apo ndio nlianza hustle. I thank God venye nlipost kwA various fb group nlipata customers and wakanitrust kunipa Hadi deposit for me to make and deliver. Nmefanya ii biashara for almost 3yrs and nashukuru imenisustain and pia nliongeza pia beddings and household good zenye bado am purely online. Sina duka and was hoping to expand this year but corona ilikuwa ikafanya mambo mob isimame. Am willing to mentor anyone who wants to try this line of business. Some pictures below of some of the things I sell. +254714678495