
Naitwa Ezekiel, mimi ni writer na uanga nadunga maprojo, articles, case studies, assignments, etc. Customer feedback kwa hii kazi yangu ni crucial coz unajua vile customer anataka na vile unaeza improve. Hii challenge ni fiti coz inaeza niconnect na wasee wenye wanataka kudungiwa writings.

0
0
0