
Naitwa Ezekiel. Nafanya kazi kwa barber shop, nafanya pia home services kwa wale watu wanahitaji kunyolewa kwa hao pia na kwa boarding schools, kwa hivo nahitaji connections za kazi au mtu smbae anaweza saidia ku advertise kazi yangu online. Thans.
0
0
0