
Naitwa Gregory Onyango from Bondo. Nafanya biz ya kuuza kwa shop. Niko na ma customers wengi sana. Natumia mbinu nyingi sana Ili niretain customer. Moja ni jinsi unaongea na ma customers, najaribu sana kuwaongelesha poa, pili nawauzia goods quality zenye hakuna mtu anacomplain of anything. Na pia at times nawapa goods on credit. Pia niko free nao sana
0
0
0