
Naitwa jaymoh mtaa ni mlango kubwa secter ni mathree so in 2020 Kuna time Covid-19 imehit vibad mask ikakua ni mandatory It happens kwa stage yetu ni karibu na church ya catholic st. Teresa kuna sister alinijenga packet ya mask ati incase customer aingie kwa mat apate hana namjenga nikachukua bt sikufanya ivo nilicome nazo adi mtaani mandugu wetu na madada wetu kwa Street hawana mask n yes karau hatamuuliza but muhimu ni kuzuiya Covid-19 nikawanjenga since then Hua napewa nawaletea
0
0
0