
Naitwa Jeff Natulia Githu hustle yangu nikukinda masmokie na mayai napia me uokoleana tu soft loans hustle yangu hii mwaka imenipeleka fiti atleast nimeongeza stock na pia nimebuy katrolly kengine so stock yangu inaflow vifiti sana kenye unijengea siku nivile me u interact na Wasee different kila siku atleast social life yangu iko at per na pia nimeweza kulearn mambo mob ya community
0
0
0