Naitwa Joel.Nko na hustle yangu nilianza last month baada ya kuchujwa job. Hustle yenyewe ni kutengeneza artificial home flowers using local available materials ka unzi na uhuru bags. Nauza each flower kulingana na type ile waitaji na pia na number bulb flowers in it. Na supply within Naivasha,Nakuru na Nairobi. Price ina range from ksh 200 to Ksh 400. Ka kuna any one interested kindly contact me on 0703621640 ama airtel - 0783342536.


0
0
0