
Naitwa Jose..... Founder wa Triska Outfits Miukinda..tennis skirts,mom jeans ma tsho na sweatpants.
Hustle nilianza last year na mahali nimefika na thank God sana....nimegain experience ya biz na si ati namaanisha nimefika bado...kuchanuka hainaga fullstop. Siku poa ma hustler wenzangu




0
0
0