Naitwa julius, mboka yangu ni ya kuchonga mawe na kuuza, hua naingiza 700 per day hii time ya holiday. Hio mboka inalipa bie. Thanks God ✌️