Naitwa Mohammed mtaani naitwa Mohaa Cyber. Computer services ndo hustle yangu. Bizna haijakuwa nzuri vile but still tunapambana I encourage all youths to be creative and work on dreams