
Naitwa Moses,mtaa Mlolongo but currently niko Mtito place nimegrow,nime observe ma youth wengi huku wako idle sana na wameingia kwa drugs so nikafikiria idea ya kuweka boxing club na karate huku upate naeza ongea na ma pero wa hao wasee wanakam wana register na doh less ni watrain then unapata pia wakiwa hapa wanajikeep busy awako idle juu ya hii long holiday..biz kama hii itakuwa Fiti huku na pia nitasaindia MA youngster wetu wakuwe focused na future pia wa learn self defense
0
0
0