Naitwa mtaani Otis marangi,hustle yangu ni kupaka rangi,hiyo ndo staff inaleta machingri kwa poke bana yes iko na challenges mob but Cha muhimu ni kupenda hustle Yako inaniokolea sana