naitwa musyoka kutoka kibera na naomba kuingia kwa hii challenge ya mesh nione vile kutaenda.Mimi ni mwanabiashara ambaye anauza makaa na napenda husle yangu sana.sasa mesh naomba nipate hio vocha niweze kusheherekea sikukuu na mesh.challenges ni nyingi katika biashara lakini nashukuru mungu sababu najikaza kila kuchao ili business's yangu iweze kufanikiwa na kusonga mbele.kwa siku unaezapata nimetegeneza faida ya 300, au 500 kama kazi iko mzuri, kupitia kwa mesh natumai nitapata ideas za kuboost biashara yangu.


0
0
0