
Naitwa peter Niko nakuru, nafanya usoja usiku yaani mlizi wa geti so hii kazi kidogo inakaa kama inanishiinda juu nimekuwa kila Mara nikiwa mgojwa nikienda hospital naambiwa Niko na alaji yabaridi so nikaonelea nikama baridi ya usiku imenishinda so nikaamuwa kuweka pesa hadi nikavikisha kiwango flani nikachukuwa bel ya nguo zakuusa na bado nafanya usoja na huku nausa nguo mchana but nimeshidwa kubalazi hizi kasi mbili juu bado sins macastom ambao nikiacha usoja watanunuwa nguo na nipate pesa maisha iendele na huku mwili nao baridi inanileme na nguo nanzo simesimama macastoma niwachache. so nifanyeje? plz naitwa peter
0
0
0