Naitwa Samuel Garama (aka. Sam G) kutoka Kilifi fan sugu Shujaaz. Mi ni Talents facilitator. An Actor, potter, composer, Mc, singer, Narrator. Huwa na train watoto na vijanaa talents zao, then nawataftia platforms kwa Radio station na even Naitwa Samuel Garama (aka. Sam G) kutoka Kilifi fan sugu Shujaaz. Mi ni Talents facilitator. An Actor, potter, composer, Mc, singer, Narrator. Huwa na train watoto na vijanaa talents zao, then nawataftia platforms kwa Radio station na even events wa showcase na ku explore them. Bizna nafanya sahi ni kufuga kuku za nyama, bt nkapitia challenge ya finance, nataka kupanua bza yangu.
0
0
0