Naitwa Sarah Munga.. Mtaa ni Githurai 45 but pia naeza patikana Kasarani. Mimi ni Baker. Napenda sana kazi yangu na ntafurahi sana kujuana na fellow bakers ndio tugrow pamoja na pia tuweze kushare skills zile wengine wako nazo
0