
Najua hapa kuna wenye ni creative Public Speakers. Hii ni one simple creative field nataka ku master. Mimi ukuwe introverted in away miguu uisha nguvu nikiambiwa nitoe speech mbele ya Umati. Is the a creative skill mtu anaeza master ama ni hivo tu nisahau. Kuna opportunity ishanipita juu ya kuwa na this weakness. Creative Meshers nipeeni TIPS.
#MESHCreatives #ContentCreation #ThursdayThrowback
0
0
0