
Najua mna cheat na Canva, saa hii kila mtu ni graphic designer juu ya Canva, ata mtu hajui font pairing anadai anafanya branding, ju sasa honestly kutumia Canva ni shortcut ama ni kujua kutumia tools smartly?
Ju saa zingine mi huona kuna vile inaharibu game ya real designers.

0
0
0