
Najua my guys na hii economy saa zingine kujifrahisha inakuanga hard buana. But worry not, Art lovers I gat you, Kuna art gallery free inaitwa Ardhi Gallery, iko hapo Ole Sangale Link Road ( like right before Strathmore) inside Parallel Four, kama itakushinda tumia google maps. Hapa ukiwa na chwani ya kutoka tao wewe unaenda unapiga maroundi huko unafrahia, yaani pure vibes. Ata kama hii ni wiki ya rent, enda tu ujiregeshee shukrani buana 50 bob wont hurt that much, you never know ata unaeza toka huko na mpoa mnaendana with luv for art🤲🏽🧘🏿


0
0
0