Najua nimeuliza hii swali before, lakini lazima niskie vile mtasema hapa Mesh. Honestly speaking, unadhani ni idea fiti kuanzisha biz na partner (BF ama GF) wako? 😅 #ShujaazBiz