Najua Red wire ndio hukua live, hio ndio iko na stima. Kitu hinichanganya sasa ni black na yellow kwa hizi wire za stima. Naeza shika hizi msikie mi nimeenda kwa baba? Engineers mtaani si mniambie about the black and yellow wires in a circuit?

0