
Najua wasee wengi wanadai loan sahii, especially hii time ya Covid, Biz imekua hard sana, low profits na mashida mob sana.. Advice kiasi Lakini watu wangu, chukua loan kama uko na payment plan in mind..hii itakujenga sana kama mse wa Biz. Ama vipi?! #ShujaazBiz #Bizloans
0
0
0