
Najua you are wondering ni photographer yupi huyu anapiga picha safi hivi, kumbe ni app inaitwa Instant Portrait. You just upload your best selfie alafu AI inakutolea picha safi safi kama za studio, hii naona ikipea photographers compe sana buana, you guys should try it out🤲🏽😌




0
0
0