Najuwa wasee wengi wanatamani kufanya forex ,but hawana wasee wa kuwa guide ..
Wewe ukitaka kulearn something like forex ,huwa unafanya aje. Juu inakaa lucrative idea sana ya kutoka block