
Nakuambia ukiskia mtu anasema hizi apps za surveys sometimes ziukua na u-fake aki amini. Kuna msee alituchanua na odinare Surveys hapa. Nimejibu surveys zangu kadhaa mpaka nikafika 3500. Sai surveys hazifunguki na limit ya kuwithdraw ni 4500. Enyewe nimekua nikiwaste time yangu!
0
0
0