
Nakumbuka nikianza shule and I was studying hii hairdressing course nilikua almost kugive up juu ya vile ilikua inachokesha mtu. I was so tired nikakumbuka sikuwahi kua na skills zozote and that made it hard for me to survive juu kupata job bila skills hii Kenya nayo mnajua ni ngori? I kept working hard nikamaliza shule. Now out in the real world; show my expertise! Nikapata most things zinafanywa huku nje hata si zenye tulifunzwa💔, shule ni ikupee certificate tu. Sema kujikaza. In 6 months time nikaanza kukua pro. Hapo nyuma maclients wangecomplain mara ooh hizi lines hazikai poa, hujakaza nywele na vitu kama hizi. All this haikufanya niumie roho na nigive up but niliendelea kujituma. In 1 year and a half nikakua pro watu wakaanza kurecommend their peers and friends to me. Ikafika point sasa lazima mtu abook appointment eeh si ni God. Nilimake sure I am patient with myself ndio nipee my clients the best. I kept going no matter uow much clients walikua wanacomplain before and sai unaskia mtu akisema to his/her friend, 'Kuna dem hutengeneza locs fiti hapo Umo'. Eeh. I am so thankful for this far jameni❤️
