Name: Tyiberiaus sifuna tella alias tééboi jr Location: Bungoma webuye east Contact info 0745672124 @tyiberiaustellatella@gmail.com
Mimi role yangu kwa community ni kupeana advice kwa mayouth na pia mi ni msee nko n biz yangu ya poultry farming,na agribiz mi hufanya ukulima especially wa mboga kama saka ,managu,kunde na spinach...so far agribiz inalipa vipoa Bora uweke what we call bidii...pia Mimi ni msee nilisomea electrical engineering power option..mi hudeal na hizi electrical fence ,CCTV na wiring...manze kitu imenibamba na mesh ni aty inadai kujenga mayouth wakuje kimoja na tusaidiane ki advise na vitu zingine mob...mesh imefanya most of youth hawako idle wanafanya jaribu kujifanyia biz zao....kama vile kuunda bricks,kulima mboga then many youths hawatumii dawa za kulevya juh wako busy na kazi alafu mayouth hawa think vitu negativity...alafu mesh imesaidia crime rate kwa mtaa sai ziko low juh wako busy wanatoka job Ka wamechoka so kuenda kujiingiza kwa hizi vitu hazina maana...then mesh imeleta mayouth pamoja tunaeza start kitu inaitwa merry go round ili tujengane na some little cash ili msee ajiendeleeze kimaisha..bytha kitu ingine nadai kuappreciate wakuu wa mesh na Shujaaz Kwa jumla kwa kucome up na hii idea hino ya kuleta mayouth pamoja...let me take this opportunity kuthank kina Maria Kim, Charlie Pele,DJ boyie,ashok na team mzima ya shujaaz mzidii kuishi miaka mingi ili mshike mayouth wengine mikono wakuje wawe kama nyinyi kwa society jah guide jah bless the all the team....nikamalizia nasema hivi nadai team Shujaaz wakuje huku Western bungoma county wajionee miradi zangu za ukulima wa mboga na kuku
