
#NamingyourBiz Inadepend na chenye unafikiria zaidi..,location ya biz na biz enyewe inataka ibenefit wasee wagani..Then inawezakuwa pia ni nickname yako ama unataja jina ya area hyo biz iko like kama kinyozi shop iko place inaitwa Mwiki unaweza inaname MWIKIVU KINYOZI ukiongeza jina lako kama unaitwa Victor .
0
0
0