
Nani aliwahi sema blackout is not an emergency? Kenya Power wakishika moto saa hii, umejipanga aje na hizo gadgets zako? 😂
Backup power lazima sai! Whether ni solar lamps ama power banks, lazima ukue prepared. Also, kuna zile solar home kits zinaweza ku-power TV, radio, na phone simultaneously! Si lazima ubuy jenereta ya kelele. Save your peace and the planet with renewables! 🌍☀️

0
0
0